Ndani ya saa moja aliweza kumpiga picha ndege huyo wa ajabu. ''Baada ya kupata picha, moyo wangu ulikuwa unadunda kwa saa tano mpaka nilipowasili nyumbani na kuzitengeneza picha ili kuona kile ...
Kwa miaka mingi, BBC Future imeangazia simulizi mbalimbali kuhusu jinsi maisha kutoka ulimwengu mwingine yanavyoweza kuwa, na nini athari ya kugundua viumbe vya ajabu vinaweza kuwa vipi.