Maelezo ya picha, Apigwa faini kwa kuchora alama zake za barabarani China 1 Disemba 2017 Mtu mmoja raia wa China amepigwa faini baada ya kupatikana katika kamera akipaka rangi ishara mpya za ...
Nchini Tanzania, utamaduni wa Wagogo umekuwa na alama za kipekee za kuutambulisha utamaduni wa kabila hilo kutokana na kuwepo kwa zana za kipekee za muziki wa asili kama vile Marimba na Zeze ...