katibu mkuu mpya wa YANGA Jonas Tibohora ameahidi makubwa kwenye klabu ya Yanga.Dr Jonas Tibohora leo amezungumza na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani. Jonas anataka ...
Simba imemaliza unyonge dhidi ya Yanga kwa mwaka huu baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam uliochezwa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika ...