Madaktari nchini Belarus wamefanikiwa kutibu zaidi ya 80% ya aina moja ya ugonjwa wa kifua kikuu sugu kwa kutumia mchanganyiko wa dawa mpya inayojulikana kama bedaquiline, pamoja na dawa zingine ...
Dawa ya kwanza duniani ya kutibu ugonjwa wa kifua kikuu miongoni mwa watoto inatarajiwa kuzinduliwa leo siku ya Jumanne mjini Nairobi. Hadi kufikia sasa,watoto hutumia dawa zinazotumiwa na watu ...