Alipokea tuzo ya kitita cha dola elfu mbili za Marekani kutoka kwa Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete. Majaji walipendezwa sana na wazo lake la kutengeneza mishumaa. Katika mahojiano David alielezea ...
Azimio la msingi lilikuwa kila wiki wakimbizi lazima wakimbizi elfu mbili wawe wanarejeshwa nchini Burundi lakini tulipokutana na Mamlaka ya Burundi tuligundua kuwa UNHCR ndio wamekuwa wakikwepa ...