Fashion Week au Wiki ya Fasheni ni sehemu muhimu ya sekta ya mitindo ya mavazi, lakini kutokana na Covid- 19, nembo mbalimbali za fasheni zilisitisha maonyesho yao. Lakini si mbunifu huyu wa mitindo.