Mahakama Kuu nchini Kenya imesitisha mpango tata wa utambulisho maalum unaofahamika kama Huduma Namba hadi pale sheria ya kulinda data ya watu binafsi itakapoanza kutekelezwa. Maelezo binafsi kama ...