Nchini Papua New Guinea, sehemu ya mashariki ya kisiwa hicho cha pili kwa ukubwa duniani, asilimia 80 ya watu huishi vijijini na wengi sehemu zilizotengwa ambazo zina mawasiliano madogo na dunia.