Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa onyo kwa wale wote wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu na kusababisha mauaji ya raia na polisi. Akizungumza kwa mara ya kwanza, mbele ya vyombo vya habari ...
Jeshi la polisi Kenya limekanusha kuhusika na visa vya karibuni vya utekaji unaowalenga wakosoaji wa serikali. Watu 74 walitekwa tangu maandamano ya kuipinga serikali, huku 26 wakiwa bado ...
Jeshi la polisi nchini Uganda limeazimia kujiondoa kutoka kwenye orodha ya taasisi zinazoongoza katika ufisadi Uganda. Kufuatia uzinduzi wa mpango mkakati wa kupambana dhidi ya maovu hayo ...