Unaposikia jina la Jokate Mwegelo, akilini vinakuja vitu tofauti tofauti kwa kila anayemfahamu. Yupo anayemfahamu kama mrembo aliyeshika nafasi ya pili katika mashindano ya urembo ya miss Tanzania ...
Jokate Mwegelo ni mwanamke mwenye umri wa miaka 34 na licha ya umri wake mdogo ni mkuu wa Wilaya ya Temeke , iliyopo Dar es Salaam Tanzania. Mbali na hilo pia ni mmoja ya wanawake waliofanikiwa ...