Huku wakivalia vazi lao la kitamaduni la jamii ya Maasai na kuzungukwa na ng'ombe, nyota wapya wa Tanzania katika mtandao wa TikTok ambao ni ndugu Kili na Neema Paul, wanajiandaa kurekodi video ...
Mashindano ya 19 ya mbio ndefu za kimataifa za Kili yamefanyika mkoani Kilimanjaro kaskazini mwa Tanzania na kuwaleta Pamoja washiriki zaidi ya 5000 licha ya uwepo wa hofu ya maambukizi ya virusi ...