Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga imefufua matumaini ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ...
Okwi alifunga goli hilo dakika 52 kwa umbali usiopungua mita 23 baada ya kipa wa Yanga, Ali Mustapha “Barthez” kupiga hesabu fyongo ( kuutuokea mpira). Mpira ulimpita juu Barthez na kuingia ...
Djigui Diarra aliyekuwa nje ya uwanja kwa wiki kama mbili amerejea akianza kujifua, jambo lililompa furaha kocha wa Yanga, ...
Diarra aliyekuwa akisumbuliwa na majeraha, amekosekana kwenye mechi za Yanga Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons ...
Yanga katika mechi ya leo inaingia ikimtegemea Prince Dube ambaye katika mechi tano zilizopita za mashindano tofauti, ...