Mwaka 2020 Ghana iliripoti kuwa na watu 350,000 wanaioshi na virusi vya Ukimwi na kati yao hao 31,000 walikuwa ni wajawazito.
Kipimo kikuu cha bei ya mjali nchini Japani, CPI, kilipanda kwa asilimia 2.3 mwezi Oktoba mwaka huu ikilinganishwa na mwaka uliotangulia. Lakini kasi ya kipimo hicho ilipungua kwa mwezi wa pili ...