Watafiti wa Israel wanasema wametengeneza kuku waliobadilishwa vinasaba ambao hutaga mayai ambayo ni vifaranga wa kike pekee huanguliwa. Hatua hiyo inaweza kuzuia uchinjaji wa mabilioni ya kuku ...
16 Oktoba 2018 Hofu ya ongezeko la ulaji nyama duniani, imewafanya wanasayansi kuvumbua mfumo wa kutengeneza nyama ya kuku katika maabara kutokana na seli ya unyoya wa kuku. Kampuni moja ya ...