Wabunge nchini Afrika Kusini watapiga kura ya siri wakati wa kuamua kuhusu hoja ya kutokuwa na imani na Rais Jacob Zuma siku ya Jumanne, spika wa bunge la nchi hiyo ametangaza. Baleka Mbete ametoa ...
Ulinzi umeimarishwa karibu na kituo cha kupigia kura tulikokwenda asubuhi ya leo, karibu na ofisi ya rais, ambapo Mahamat Idriss Itno, rais wa Chad, hivi karibuni alipandishwa cheo na kuwa Marshal ...