Wanakiolojia wamepata ushahidi kaskazini mwa Kenya katika kile huenda ni mfano ... kwa watu 27 ambayo yalipatikana magharibi mwa Ziwa Turkana yanaonyesha kuwa yalisababishwa na mauaji.
Kampuni ya Tullow ilipogundua mafuta kusini mwa bonde la Lokichar mwaka 2012, wenyeji walidhani kwamba eneo hilo lililotengwa hatimaye litaanza kustawi. Inasemekana kwamba bonde hilo lina uwezo wa ...