WAZIRI wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi, amekemea tabia ya baadhi ya watangazaji kuharibu lugha ...
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amewaonya watangazaji wa  vyombo vya habari kuacha ...
Anatetea kile anachokiita "lugha nyingi fasaha" ambapo watu wanastarehe kuzungumza zaidi ya lugha moja ya kimataifa. Lakini ingawa Kiswahili kina mvuto katika Afrika mashariki, kati na kusini ...
Kiswahili kinazidi kukua na kushamiri kila uchao na kama zilivyoenea lugha za Kiingereza,Kifaransa na Kichina, Kiswahili pia kinandelea kwenda mbali zaidi. Juma lililopita Lugha hiyo ilitangazwa ...