Uchina imetangaza kuwa inasitisha kwa muda ununuzi wa makaa kutoka Korea Kaskazini, katika juhudi za kuzidi kuichagiza Korea Kaskazini, baada ya jaribio la kombora la karibuni kabisa kufanywa na ...
Ingawa Mkataba wa Hali ya Hewa wa Glasgow ni jaribio kubwa la kudhibiti ongezeko la joto duniani, mzozo wa dakika za mwisho juu ya makaa bila shaka umegubika mpango huo. India iliungana na China ...