Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wafanyabiashara wawili kwa tuhuma za kupatikana na miundombinu ya umeme na maji kinyume cha sheria.