Mbuga ya kitaifa ya wanayama pori ya Serengeti nchini Tanzania imeibuka ya kwanza Afrika baada ya utafiti uliofanywa na kampuni ya utalii ya Safari Bookings, utafiti uliofanyika mtandaoni kupitia ...
Vivutio vya kitalii nchini Tanzania kama vile mbunga ya uhifadhi wa wanyama pori ya Serengeti na mlima Kilimanjaro ni vivutio vinavyoongoza kwa utalii ambapo watu wengi maarufu wametembela.