Mbunge wa Korogwe Vijijini kupitia CCM Stephen Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu ameaga Dunia. Taarifa zinasema Maji marefu alikuwa amelazwa Dodoma kwa matibabu na June 20 akahamishiwa ...