ITAKUWA ni patashika nguo kuchanika kwa wenyeji Singida Black Stars FC kuwakaribisha vinara, Simba katika mechi ya Ligi Kuu ...
Fabrice Ngoma ameendelea kuwa na kiwango bora katika kikosi cha Simba ambapo leo Desemba 29, 2024 aliibuka shujaa kwa kufunga ...
BAO pekee lililowekwa kimiani dakika 41 na kiungo Fabrice Ngoma limeiwezesha Simba kujihakikisha kuuaga mwaka 2024 na ...
WANASIMBA walikuwa wakisubiri kwa hamu kubwa sana usajili wa dirisha dogo ufunguliwe ili waanze kuona mavitu ya nyota wao ...
BAADA ya kumvuta kikosini beki wa zamani wa Simba aliyekuwa akiitumikia Singida Black Stars, Israel Mwenda, mabosi wa Yanga ...
DAR ES SALAAM; Simba jana ilianza kumtumia mchezaji wake mpya iliyemsajili kwenye dirisha hili dogo la usajili, ...
KLABU za Simba, Yanga na TP Mazembe zimetajwa kupeleka ofa katika klabu ya Fountain Gate kwa ajili ya kuhitaji nyota wa timu ...