Msanii mkongwe na maarufu nchini Tanzania na Afrika Mashariki Amri Athuman maarufu Mzee Majuto amefariki dunia wakati akipokea matibabu kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili iliyopo Dar es Salaam ...
Rais John Magufuli wa Tanzania leo amemuachia huru mwanamziki maarufu nchini Tanzania Nguza Viking, maarufu kama Babu Seya aliyehukumiwa kifungo cha maisha jela. Msamaha huu unatajwa kuwa historia ...
BODI ya Utalii Tanzania (TTB), imeingia makubaliano ya miaka mitatu kutangaza utalii kwenye ndege 490 na miji 350, nje ya Afrika. Makubaliano hayo yamesainiwa leo Dar es Salaam kati ya TTB na Shirika ...