Naibu mkurugenzi wa zamani katika shirika la ujasusi nchini Marekani FBI Andrew McCabe ametoa barua kuhusu mazungumzo aliyokuwa nayo na rais wa Marekani Donald Trump kwa kamati inayochunguza ...
Faustine Ndugulile wa Tanzania amechaguliwa kuwa Mkurugenzi kikanda wa Afrika katika Shirika la Afya Duniani (WHO). Dk Ndugulile, mtaalam wa afya ya umma ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo la ...