Mwanahabari wa siku nyingi nchini Kenya Mohammed Juma Njuguna amefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu katika hospitali ya Nairobi. Mtangazaji huyo ambaye uzoefu wake wa kazi hiyo unakaribia ...