Kigoma leo Kiungo Taddeo Lwanga, aliihakikishia ushindi Simba kwa kufunga bao hilo pekee katika dakika ya 79 ya mchezo akiunganisha kwa kichwa mpira wa kona uliopigwa na Luis Miquissone.
HII wikiendi ya kibabe kwelikweli kuanzia hapa nchini hadi Ulaya kuna mechi zinapigwa leo Jumamosi na kesho Jumapili huku ...
BAO moja na asisti moja, vimetosha kumfanya kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola kuwa shujaa wa kikosi hicho ...
Simba imemtangaza mshambuliaji wake Ladack Chasambi kuwa mgeni rasmi katika mechi yake leo dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam wakati huo kocha ...
WAKATI hatima ya nyota wake watatu waliopewa uraia wa Tanzania ikiwa bado chini ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF), kikosi cha Singida Black Stars k ...