Maelezo ya picha, Wanajeshi wakijiandaa kwa sherehe ya kuapishwa kwa rais Uhuru Kenyatta katika uwanja wa michezo wa Kasarani Nairobi 28 Novemba 2017 Usalama umeimarishwa katika mji mkuu wa Kenya ...
Raila Odinga, pekee yake, akiuhutubia mkutano wa halaiki kubwa kuwai kuonekana enzi hizo katika uwanja wa Uhuru Park, Nairobi, alitangaza kwamba “Kibaki Tosha”. Kwa kauli hiyo, umati wa ...