Mahakama ya Afrika imeamuru Tanzania kuviruhusu vyama vya siasa kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais mahakamani Katiba ya Tanzania hairuhusu mahakama kuhoji wala kupinga matokeo ya urais mara ...
Mahakama Kuu ya Tanzania imesema hakuna ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa hukumu ya kifo ni kinyume na katiba ya nchi. Watetezi wa haki za binadamu walifungua kesi kutaka adhabu hiyo ifutwe ...