Maelezo ya picha, Pawel Zietowski Aliendesha kwa kasi ya kilomita 188 kwa saa, kabla ya kusimamishwa na polisi tarehe 3 Juni Mwendesha pikipiki ambaye aliendesha pikipiki yake huku taili la mbele ...
Hivi karibuni aliachana na pikipiki yake ya kawaida na kugeukia ile ya umeme kuendesha shughuli zake katika mji mkuu wa Rwanda ikiwa ni moja ya piki piki za kwanza za umeme barani Afrika.