Zaidi ya wafugaji 2,000 wa kuhama hama nchini Kenya wamesalia noti za zamani za shilingi elfu moja ($10) ambayo haitumiki tena nchini humo.Wafugaji hao ambao wamekuwa wakilisha mifugo wao katika ...
Zaidi ya dola milioni 600 ya noti ya zamani ya shilingi elfu moja nchini Kenya hazijarudishwa saa kadhaa kabla ya muda wa mwisho wa matumizi ya fedha hizo kuwadia. Benki Kuu ya Kenya inatafakari ...