Maelezo ya video, Agrey Mwandri : Vioja vya mkuu wa mkoa wa Tabora vinavyosisimua mitandao Tanzania 6 Machi 2019 Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwandri amekuwa akivuma katika mitandao ya kijamii ...