Kama ilivyo kwa nchi ningine duniani, Tanzania nayo inatumia njia hizi tatu ... unaweza kukubaliana kwamba kama zinatumika vizuri tozo ni tamu, na utamu wake unawagusa wengi kupitia huduma katika ...
Pamoja na utamu wa uchungu wa bajeti za sasa za nchi za Afrika Mashariki, ukakasi wa ongezeko la deni la taifa kwa nchi zote, inaleta wasiwasi. Tanzania deni limefikia trilioni 69, Uganda 73.5 ...