Mafunzo katika vyuo vikuu vya umma nchini Kenya yameathirika baada ya wahadhiri wa vyuo kuanza rasmi mgomo wa kitaifa. Wahadhiri hao wamekiuka agizo la mahakama na kutogoma na kuamua kugoma.
Mamia ya waandamanaji wamekamatwa huku vyuo vikuu vikijitahidi kukabiliana na maandamano kwenye viwanja vya chuo, siku chache tu kabla ya sherehe za kuhitimu. Tangu shambulio la Oktoba 7 la Hamas ...