Madai: Maisha ya Zimbabwe sasa ni magumu zaidi hata yalivyokuwa wakati wa utawala wa Robert Mugabe, hiyo ni kwa mujibu wa Fadzayi Mahere wa chama cha upinzani cha MDC. Je madai haya yana ukweli ...
sura yake kwa sasa imejificha nyuma ya kitambaa cheusi cha shela mwanamke ambaye utajiri wake umeonyesha ni kwa kiwango gani mamlaka yana nguvu nchini Zimbabwe. Alikuwa mpigachapa ambaye aliolewa ...