Mapema mwezi huu, Jumamosi ya Julai 3 Simba pia ili fungus na Yanga bao 1-0 katika mechi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu. Siku hiyo Yanga ilitibua sherehe ya ubingwa wa Simba.
Pambano la watani wa jadi nchini Tanzania kati ya Simba na Yanga lazima lipate mshindi ... mara mbili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwemo 5-1 kwenye mchezo wa Ligi. Kwa upande wa wanachama ...