LEO Yanga ina kibarua kigumu na muhimu cha kusaka pointi tatu muhimu za kuwapeleka hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ...
Timu ya Young Africans Sports Club almaarufu Yanga, imeshika nafasi ya pili katika Kombe la Shirikisho la Afrika (CAFCC), linaloratibiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kufuatia kushindwa ...
Tunaamini Yanga itakuwa na faida isiyo na usawa katika TPLB nje ya uhusiano wao na 'mdhamini huru' GSM. Yanga ina mahusiano ya moja kwa moja na GSM kinyume na kanuni za Ligi Kuu 2021.
KLABU ya Yanga imesema msafara wa wachezaji na viongozi wa MC Alger kutoka Algeria uliotarajiwa kuwasili nchini jana alfajiri ...