Yanga imemaliza mwaka kibabe kwa ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Fountain Gate kwenye Uwanja wa KMC Complex leo, matokeo ...
YANGA ni kama imejibu mapigo kwa watani wao wa Simba, baada ya jioni hii kupata ushindi wa kishindo wa mabao 5-0 dhidi ya ...
DAR ES SALAAM; YANGA leo watakuwa wanaikaribisha Fountain Gate FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Uwanja wa KMC, Mwenge Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanga wanakuwa na ari ya kuendeleza ...
Tunawaombea mafanikio zaidi kwani mafanikio ya Yanga ni mafanikio ya Tanzania.” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameipongeza timu ya Yanga kwa kuiwakilisha vyema Tanzania katika michuano ...
Aliyekuwa mfanyabiashara maarufu jijini Tanga, Yanga Omari ‘maarufu rais wa Tanga’ amefariki dunia jana mchana (Desemba 27, ...
WAZEE wa Gusa, Achia twende kwao, leo wanashuka uwanjani kumenyana na Fountain Gate katika pambano la Ligi Kuu Bara ambayo ...
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu, Yanga leo watashuka kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kucheza mechi ya mwisho ya ...
Klabu ya Yanga nchini Tanzania imekata mzizi wa fitina baada ya kunyakua ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa mwaka 2014/2015. Ushindi ulioupata wa magoli 4-1 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es ...
Kutokana na matokeo hayo Yanga imefikisha pointi 33 ikiwa nyuma ya Simba inayoongoza ligi ikiwa na pointi 34. Yanga na Azam ...
KOCHA Mkuu wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, Sead Ramovic, ametaja sababu inayowapa ushindi timu yake ni ...