YANGA ni kama imejibu mapigo kwa watani wao wa Simba, baada ya jioni hii kupata ushindi wa kishindo wa mabao 5-0 dhidi ya ...
Mapema mwezi huu, Jumamosi ya Julai 3 Simba pia ili fungus na Yanga bao 1-0 katika mechi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu. Siku hiyo Yanga ilitibua sherehe ya ubingwa wa Simba.
SIMBA imecheza mechi nane mfululizo za Ligi Kuu Bara bila kupoteza tangu ilipofungwa na Yanga bao 1-0 katika Dabi ya Kariakoo ...