Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amechaguliwa kwa muhula wa pili baada ya ushindi wa 52.6% ya kura zilizopigwa katika uchaguzi mkuu, kwa mujibu wa tume ya uchaguzi. Hatahivyo upinzani umedai ...
Raia wa Zimbabwe wamekusanyika kwa wingi kwenye uwanja wa michezo mjini katika mji mkuu wa nchi hiyo Harare kwa ajili ya sherehe za kuapishwa kwa rais mpya wa nchi hiyo Emmerson Mnangagwa.