Mkuu wa Wilaya ya Handeni Albert Msando, amethibitidha kutokea kwa ajali siku ya leo eneo la Michungwani kwenye wilaya yake ya Handeni iliyosababisha vifo vya watu 7 na majeruhi 10, kupitia kurasa ...
MBUNGE wa Arusha Mjini Mrisho Gambo ametoa ufafanuzi wa sakata lililoibuka jana baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ...
Ajali hiyo iliua watu 179. Wafanyakazi wawili wa ndege hiyo waliokolewa. Upekuzi huo uliofanywa jana Alhamisi uliripotiwa kujumuisha ofisi ya shirika hilo la ndege lililopo mjini Seoul pamoja na ...
Saa chache kabla ya mwisho wa mwaka, mashua ndogo ilizama kwenye ufuo wa Lampedusa, imeeleza taarifa ya shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia watoto (UNICEF) iliyotolewa jana Januari mosi mjini ...
Rais wa Azerbaijan Ilham Aliyev anataka kuiwajibisha Urusi kwa ajali ya ndege ya hivi karibuni ... Rais huyo pia alisema, "Tunaweza kusema wazi leo kwamba ndege ilidunguliwa na Urusi.
imeanguka usiku wa kuamkia leo ilipokuwa ikitua na kuwaka moto. Watu 167 wamethibitishwa kufariki kwenye ajali hiyo. Waokoaji wanahofia huenda watu wote waliokuwemo ndani ya ndege hiyo wameangamia ...
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameomba msamaha kwa Rais wa Azerbaijan Ilham Aliyev kufuatia ajali ya ndege ya shirika la ndege la Azerbaijan nchini Kazakhstan iliyosababisha vifop vya watu 38.
AJALI za barabarani zimekuwa tishio nchini ... mwaka huu kuhusu kuongeza umakini na usimamizi katika Sheria za Usalama Barabarani, leo nimeliagiza Jeshi la Polisi kuwa na mfumo wa Leseni za udereva ...
Handeni. Unaweza kusema Desemba hii ni ya majonzi na simanzi kubwa kutokana na mfululizo wa ajali mbaya zilizotokea, zikiwamo zilizotokea jana wilayani Handeni Mkoa wa Tanga na nyingine iliyotokea leo ...
Aelezea masikitiko yake kufuatia vifo vya watu kwenye ajali hii Atuma salamu za rambirambi kwa wafiwa na serikali za nchi zao Awatakia ahueni ya haraka majeruhi Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ...
Akizungumzia ajali hiyo leo Desemba 20, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema dereva huyo yupo chini ya ulinzi kwa sasa na uchunguzi ukikamilika, atafikishwa mahakamani. ...
KIKAO cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kimepokea mapendekezo kutoka Halmashauri ya Arusha DC ya kufutwa kwa Mamlaka ya Maji mdogo wa Ngaramtoni uliopo Halmashauri hiyo kutokana na gharama za ...