Al Jazeera ilirusha picha siku ya Jumatano jioni zikionyesha maafisa wa polisi wa Mamlaka ya Palestina wakiwaletea waandishi wa habari huko Ramallah hati rasmi ya mahakama, ya Januari 1 ...
Chanzo cha picha, Getty Images Mamlaka ya Palestina inasema kuwa imesitisha matangazo ya idhaa maarufu ya Kiarabu ya Al Jazeera katika baadhi ya maeneo ya Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu ...
Makhlouf alijenga milki iliyokuwa pana ya kiuchumi ambayo wakosoaji waliitaja kama ulimbikizi wa mali na mamlaka. Vita vya Iraq vya 2003 vilileta mzozano na kutia doa uhusiano kati ya Bashar al ...
الْمَمْلَكَةالْعَرَبِيَّةالسُّعُودِيَّة或الْمَمْلَكَةالْعَرَبِيَّةالسَّعُودِيَّة(al ...
Ujumbe wa Iraq umekutana siku ya Alhamisi, Desemba 26, na mamlaka mpya ya Syria mjini Damascus, amesema msemaji wa serikali ya Iraq, zaidi ya wiki mbili baada ya rais Bashar Al Assad kutimuliwa ...
Mamlaka nchini Kazakhstan zimesema watu 38 wamefariki katika ajali ya ndege ya abiria ya kampuni ya Azerbaijan Airlines magharibi mwa nchi hiyo jana Jumatano. Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya ...
Idara ya upelelezi nchini Kenya, DCI imekanusha madai kwamba ina mkono kwenye visa vya utekaji na kupotezwa kwa wanaharakati wa mitandaoni wanaokosoa uongozi wa rais William Ruto. Haya yanajiri ...
WAUZAJI dawa za kulevya wamebadili mbinu, wakiibuka na njia mpya, zikiwamo za medani za kivita, ili kukwepa kukamatwa, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imethibitisha. Kwa ...
Wiki iliyopita nilizungumzia namna Katiba ya Zanzibar inavyouvunja muungano kwa kuiita Zanzibar ni nchi, na jinsi Katiba ya Zanzibar ilivyopoka mamlaka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) ...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imevuka lengo la makusanyo ya kodi kwa asilimia 103.52 mwezi uliopita, kwa kukusanya Sh. trilioni 3.587, huku ikiweka maazimio nane ya kuongeza ufanisi wa utendaji ...
Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA), Said Ali Mohamed. Unguja. Wakati Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) katika kipindi cha nusu ya kwanza cha Julai hadi Desemba 2024 ikikusanya ...