UPANDE wa Jamhuri katika kesi ya kusambaza taarifa za uongo kupitia mtandao wa X inayomkabili mwanasiasa mkongwe, Dk. Wilbroad Slaa umedai haujui aliko mshtakiwa huyo na pia haujui sababu za ...