DAR-ES-SALAAM : WATAALAMU wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) wamepewa mafunzo jinsi ya kuziba matundu na kuzibua mishipa ya damu ya moyo iliyoziba bila ya kufanya upasuaji wa kufungua kifua ...
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameomba radhi kufuatia ajali ya ndege ya shirika la Azerbaijan, lakini bila ya kukiri kwamba huenda ndege hiyo ilishambuliwa na Urusi. Putin alikiri kwamba mifumo ya ...
SIMBA SC itacheza mechi yake ya Jumapili wiki hii Januari 19, 2025 dhidi ya CS Constantine bila ya mashabiki kufuatia adhabu iliyopewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Adhabu hiyo imekuja ...
alisema ndege hiyo ‘’ilielekezwa" katika Bahari ya Caspian bila GPS. Mhudumu wa ndege Zulfuqar Asadov alielezea wakati ambapo ndege ilishambuliwa na "aina fulani ya silah" juu ya Chechnya.
Mwezi Disemba ukishika kasi tunajikuta tukikaribisha msimu wa sherehe, nyimbo za krismasi huanika kila pembe ulimwenguni, mapambo ya rangi na watu wakimiminika sokoni na madukani kununua ...
Aidha Bakwata wamehimiza umuhimu wa kutunza mazingira kuelekea mwaka 2050, kutungwa kwa sheria nakuwekwa mkakati wa kudhibiti bidhaa bandia pamoja na kuhamasisha utalii wa ndani kwa kupunguza gharama ...
Dar es Salaam. Simba itacheza mechi yake ya Jumapili wiki hii Januari 19, 2025 dhidi ya CS Constantine bila ya mashabiki kufuatia adhabu iliyopewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Adhabu ...
Maria Lameck, mkazi wa Mbezi Malamba Mawili, mkoani Dar es Salaam, anasema alipitia hali ya kuwa na wasiwasi uliopitiliza kwa muda mrefu bila ya kujua kuwa ana shida ya afya akili. Kwa mujibu wa ...
MAHAKAMA ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara imemshikilia aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Samwel Warioba Gunzar kwa makosa mawili ya uhujumu uchumi. Makosa hayo ...
Hatimaye, wiki mbili zilizopita, msemaji wa serikali alibainisha kwamba tarehe hiyo haitazingatiwa, akimaanisha awamu ya pili, "uundaji upya wa Serikali", bila kutoa maelezo zaidi. Katika taarifa ...
MWIMBAJI mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Marioo amesema katika maisha ya muziki amekuwa hashobokei kiki, lakini anashukuru amekuwa akitoboa katika fani freshi tu. Akizungumza na Mwanaspoti, ...