Godwin Mollel, alisema hayo jana bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Fatuma Toufiq, aliyetaka kujua idadi ya wasichana na wanawake walioathirika na utoaji mimba usio salama ...
BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA), limefuta matokeo yote ya wanafunzi 105 wa darasa la nne na 46 wa kidato cha pili kwa maelezo ya kufanya udanganyifu na kuandika matusi. Mbali na hatua hiyo, NECTA ...