Wakati jana Desemba Mosi Ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Kimataifa ya UKIMWI kwa kuhamasisha haki za binadamu ili kufanikisha vita dhidi ya ugonjwa huu hatari, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya ya Kudhibiti ...
Wakati jana Desemba Mosi Ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Kimataifa ya UKIMWI kwa kuhamasisha haki za binadamu ili kufanikisha vita dhidi ya ugonjwa huu hatari, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya ya Kudhibiti ...
milioni 6.8 wanaishi na virusi vya homa ya ini na milioni 1.6 wanaishi na Virusi vya Ukimwi (VVU). "Kwa Tanzania utafiti uliofanyika mwaka 2014, unaonesha kulikuwa na watu 250,000 hadi 500,000 ...
“NILIACHA Dawa za Kufubaza Virusi vya Ukimwi (VVU) maarufu ARV kutokana na ushawishi wa ndugu yangu mmoja aliyenipeleka kwenye maombi,” Doreen Odemba, anayesimulia mkasa uliomkuta alipoenda kwenye ...
Mwanza. Utafiti mpya umeonesha watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano na watu waishio na maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU) ni waathirika zaidi wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa za antibaotiki ...
Kawaida muongozo wa PEP uliorithiwa kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) huwa na dawa aina 2-3, zikiwa ni muunganiko wa kidonge kimoja ambazo hutumika mara 1 kwa siku kwa muda wa siku 28.
TANZANIA imewekeza zaidi katika eneo la kinga kwa kujenga vituo mbalimbali vya kutolea huduma za waraibu wa dawa za kulevya katika hospitali za kanda na rufaa sanjari na utoaji elimu kwa makundi ...
Lakini kuna ushahidi kuwa dawa hizo zinakabiliana na mafua kikamilifu? Kupatwa na mafua ni kawaida ,ikiwa ni takriban virusi 200 vinavyosababisha hali hii. Ingawa kuna tiba za nyumbani zilizopo ...
Hayo huwezi kuyajua kama hayajakukuta, lakini unaweza kujifunza kupitia aliyekuwa beki wa Yanga, David Charles Luhende ambaye aliwahi kukutwa na kashfa ya matumizi wa unga (Dawa za kulevya).