DAR ES SALAAM: YANGA imetambulisha usajili wa kiungo wa pembeni 𝐉𝐨𝐧𝐚𝐭𝐡𝐚𝐧 𝐈𝐤𝐚𝐧𝐠𝐚𝐥𝐨𝐦𝐛𝐨 kutoka timu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ...
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Mwanziva ameongoza wananchi wa Kata ya Nangaru- Lindi Manispaa kwenye zoezi la uchimbaji wa misingi ya majengo ya shule mpya ya Sekondari ya Amali ambayo inapewa jina ...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa... Wagombea ...
YANGA imekamilisha usajili wa mshambuliaji anayemudu pia kucheza winga zote, Jonathan Ikangalombo kutoka AS Vita, lakini taarifa ni kwamba nyota huyo mpya ametengenewa kucheza mechi za ndani tu za ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa Serikali ya awamu ya Sita imekusudia kuendelea kuboresha ...
Mwenyekiti mpya wa Baraza la Vijana Chadema (Bavicha), Deogratius Mahinyila akiwa amebebwa na wajumbe baada ya kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi uchaguzi huo ulioanza jana na kutamatika leo, ...
Wataalamu hao wanataka mtindo mpya unaoangalia unene na namna unaoathiri viungo vya mwili - kama vile ugonjwa wa moyo, kushindwa kupumua, kisukari cha aina ya 2 au maumivu ya viungo - na athari ya ...
Uhusiano wa Syria na Urusi Kujenga upya jeshi la Syria kutahitaji mwanzo mpya au kuendelea kutegemea vifaa vya Urusi, jambo ambalo litamaanisha kuwepo aina fulani ya uhusiano kati ya nchi hizo ...
WAKATI Shirikisho la Soka Afrika (CAF) likiifungia Simba kucheza mechi moja ya nyumbani bila mashabiki huku likiipiga faini ya Dola 40,000, kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids amefichua ukweli ...
Juhudi za kushinikiza mhamo kutoka matumizi ya nishati chafuzi ya magari na kuhamia kwenye matumizi ya magari ya umeme ya nishati safi zimeanza kuonekana. Idadi ya magari ya umeme inaripotiwa ...
ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza katika salamu zake za Krismasi na Mwaka Mpya 2025, ametoa ujumbe maalumu kwa matajiri na wanasiasa. Katika ...
Kiongozi huyo mpya alichaguliwa Oktoba 9, na kuongeza muda wa utawala wa Frelimo, ambao umekuwa madarakani kwa karibu miaka 50. Uchaguzi wake bado una upinzani mkubwa, hasa na mgombea wa upinzani ...