Mohamed Muya wa Fountain Gate alimaliza salama mzungo wa kwanza, lakini akakutana na mkono wa kwaheri kwenye mechi yake ya ...
Kuelekea mechi hiyo, Kocha Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda, ameahidi timu yake itaendeleza wimbi la ushindi ... lakini sisi tumejipanga na watarajie mechi ngumu kutoka kwetu," alisema kocha huyo wa ...
IMEELEZWA endapo makubaliano ya kimaslahi yakienda sawa baina ya timu ya Mashujaa FC na AS Vita ya DR Congo basi dili la mshambuliaji Ismail Mgunda linaweza likatiki ... huku mmoja wa nyota wa timu ...
Nyota huyo raia wa Ghana ni mchezaji wa tatu kutoka Tanzania aliyeivutia AS Vita baada ya mshambuliaji wa Mashujaa, Ismail Mgunda ambaye yupo kwenye mpango wa kusajiliwa na winga wa zamani wa Yanga, ...