Serikali kadhaa katika Pembe ya Afrika na Mashariki mwa Afrika zinadaiwa kupuuza haki za binadamu za kimsingi na kutumia vurugu kukandamiza wakosoaji wao, imesema ripoti ya shirika la Human Rights ...