Lakini katika usiku mrefu zaidi wa Assad, mshirika wake wa karibu amemwacha. Huenda huu ukawa mwaka mbaya zaidi kwa maslahi ya Iran tangu vita vyake vya umwagaji damu na Iraq katika miaka ya 1980.
Katika tukio la kwanza, Jeshi la mkoani Mara linamshikilia, Gesoreka Mabula (30), mkazi wa Kijiji cha Mesega, wilayani Serengeti, kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi kwa kumchinja kisa ugomvi wa ...
Picha nyingine iliyoharibiwa ni ya kamanda wa zamani wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran Qasem Soleimani - aliyeuawa kwa amri ya Donald Trump wakati wa urais wake. Mfululizo wa hasara ambayo Iran ...
Hili linawahusu hasa watu wenye kisukari, ambao wana hatari ya kuathirika kutokana na habari zisizo za kweli zinazozungumzwa mtandaoni. Taarifa potofu kuhusu kisukari zinaweza kuwa na madhara makubwa ...
Sehemu ya Mawakili wapya wakitoa heshima kwa Jaji Mkuu (hayupo kwenye picha). Dar es Salaam. Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amesema moja ya nguzo muhimu za weledi wa wakili ni kufanya ...