Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya duniani, WHO, limeripoti uwezekano wa kuweko kwa mlipuko wa homa ya Marburg wilayani Biharamulo na Muleba, mkoani Kagera nchini Tanzania baada ya watu 9 kuugua ...
Kufuatia ripoti za kesi zilizoshukiwa za homa ya virusi vya Marbug nchini Tanzania, Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO limeimarisha utayari wake kuisaidia serikali ya Tanzania katika kuch ...